Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

ANGALIA PICHA ZA VURUGU ZA WAFUGAJI NA WAKULIMA YALIOTOKEA MALINYI ULANGA

$
0
0
 Kituo cha Polisi Kilichovamiwa na wananchi ambapo Walifanya uharibifu mkubwa wa mali pamoja na kuchoma moto gari moja lilokuwa kituoni hapoa na katika vurugu hizo  watu watau walifariki dunia 

 Picha ya mmoja wa marehemu kutokana na Vurugu za wafugaji na wakulima ambapo wananchi walitaka kuvamia kituo cha polisi malinyi.Katika vurugu hizo watu watatu walipoteza maisha.CHANZO BOFYA KUANGALIA PICHA ZAIDI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles