.....Mna kausemo kenu siku hizi...weka mbali na watoto...basi kwa kuwa yule Messi wa Simba ni mtoto....basi tuseme weka mbali na wakubwa...maana dah. yule mtoto ana laana bana. amesababisha Yanga wote leo wawe bize na maisha mengine..rafiki yangu mwingine wa Yanga ni Mzaramo anasema anaenda kwao mkoani likizo. kwani Wazaramo wanatoka mkoa gani jamani? tehe tehe tehe tehe
↧