Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

WEMA ANA MIMBA? HEBU JIONEE PICHA HIZI ZINAZOSAMBAAMTANDAONI

$
0
0
Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti huku wote sura zao zikiwa hazionekani.
Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEEBOFYA KUONA PICHA ZAIDI>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles