Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

DUH BUSU LA MTOTO MZURI BATULI WA BOGO MUVI LAZUA UTATA...!

$
0
0

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amezua utata wa aina yake kufuatia kunaswa akimpiga busu matata mkongwe, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’Baada ya picha inayowaonyesha wawili hao wakiwa ‘very close’ wakifanya tendo hilo kunaswa na paparazi wetu, paparazi wetu alimtafuta Batuli na kumuuliza kulikoni?
Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’“Aaah wewe acha mambo yako, busu la kawaida hilo bwana hakuna cha ziada, tulikuwa katika sherehe flani hivi Dodoma ndipo nikajikuta tu nimempiga busu,” alisema Batuli.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles