Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

IYOBO WA AUNT: SIJAOA, NIMEZAA TU

$
0
0
‘Moze Iyobo’ akiwa na familia yake.
MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amefunguka kuwa hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi.
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea uwanja wa ndege. Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa penzi la mwigizaji Aunt Ezekiel, alizidi kutiririka kuwa anachukizwa sana na watu wanavyomuita mume wa mtu wakati bado hajafikiria.
“Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo,” alisema Moses.

Aunt Ezekiel akipozi kwenye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles