Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Ray C Foundation yafungua mgahawa, itaajiri vijana waliojitoa kwenye matumizi ya dawa za kulevya

$
0
0

Kupitia Instagram ya Ray C ameandika:
Taasisi ya Ray C Foundation iliyo chini ya muimbaji mkongwe, Ray C imefanikiwa kuongeza mradi mpya wa mgahawa ambao utatoa fursa ya ajira kwa vijana waliojikomboa kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.
Matunda ya Ray C Foundation,Namshukuru Mungu kwa kuendelea PICHA ZAIDI kutubariki,kupitia foundation yetu tumeanza kufungua miradi mbalimbali ili kuwawezesha vijana walioamua kubadilika na kuachana na dawa za kulevya kupata ajira ili waweze kuendesha maisha!kwakuanza Ray C FOUNDATION imefungua mgahawa nje ya hospitali ya Mwananyamala ili kuwawezesha wagonjwa na wauguzi waweze kupata chakula cha kila aina naSOMA ZAIDI>> 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles