Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

MSANII AUGUST ALSINA AZINDUKA BAADA YA KUWA ICU KWA MUDA WA SIKU TATU

$
0
0

0920-august-alsina-instagram-01August Alsina msanii wa muziki wa RnB anayekuja kwa kasi ya ajabu nchni Marekani amezinduka baada ya kuwa katika chumba cha uangalizi wa hali ya juu ICU baada ya kuwa maututi ndani ya siku tatu bila kuzinduka. August alizimia ghafla kwenye stage uko New York City wakati akitumbuiza na kukimbizwa hospitali.


August ametupia picha hii baada ya kuweza kupata ufahamu hapo jana,ikionyesha bado akiwa amewekewa mashine ya kupumlia ( breathing machine.)


Chanzo: TMZ

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles