Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Baada ya kauli ya Ally Kiba huu ni ujumbe kutoka kwa Diamond.

$
0
0

Wiki iliyopita kupitia mitandao ya kijamii zilitoka stori ambazo zilizanzia kwenye 255 ya Clouds Fm ambapo aliulizwa Ally Kiba juu ya uhusiano na msanii mwenzake Diamond Platnumz.Usiku wa kuamkia July 21 Diamond Platnumz ameandika ujumbe ambao mashabiki wengi wa muziki wa Bongo
Fleva wameutafsiri kama majibu juu ya kile alichokisema Ally Kiba wiki iliyopita.Katika ujumbe huo ambao Diamond kapost kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kaandikaIsome hapa>>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles