Msanii wa muziki wa Hip Hop Professor Jay ameanza ku-shoot video ya wimbo ‘Kipi Sijasika’ ambao amemshirikisha msanii Diamond.
![Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la jaji]()
Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la hakimu
Katika picha ambazo zimetoka hivi punde zimemuonyesha prodyuza mkongwe wa muziki nchini P-Funk Majani akiwa na vazi la hakimu wa mahakama huku Professor akiwa na pingu mkononi.Tazama picha.
![Professor akiwa na askari]()
Professor akiwa na askari