Miji Mama hiyo ikiendelea kushinda kuvua nguo mbele za watoto
Baadhi ya wanaume wakware waliamu kurekodi matukio hayo kwenye kamera za simu zao pichani mmoja wa wanaume hao akirekodi matukio hayo kwa lengo la kujibusti baadae
Jimama likionyesha chupi yake mbele ya kamera ya Video na kamera ya Mtandao huu.
MAADILI YA MTANZANIA YANAPOROMOKO.
WANAWAKE watu wazima'Miji Mama' mwishoni mwa wiki iliyopita ilimwaga radhi hadharani eneo la Msamvu Magodolo jirani na kiwanda cha Komoa.
Miji Mama hiyo ambayo baadhi ya wake za watu walifanya uchafu huo kwenye sherehe ya kumtoa mtoto wa rafiki yao'Arobaini'.
Wana wake hao wambao wana kikundi cha kusaidia kwenye shida na raha walifanya sindano hilo la kuvua nguo na kubaki watu mbele ya kamera za Video na kamera ya Mtandao huu bila hofu yoyote na Dustan Shekidelem,Morogoro