Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

PICHA: TAMASHA LA NYAMA CHOMA LAFANA JIJINI DAR,KAJALA NA MWANAE NDANI YA NYUMBA

$
0
0
Tamasha la Nyama Choma linalohusisha ulaji wa nyama zilizochomwa na wachomaji wa aina mbalimbali kutoka Afrika Mashariki limefanyika jana katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu wa rika zote.Kajala akiwa na mwanae
Kajala akiwa na mwanae
Tamasha hilo ambalo limedhaminiwa na Heineken ,Henessy pamoja na JackDaniels lilipambwa na muziki kutoka kwa Mashujaa Band pamoja na michezo ya watoto na wakubwa.

Wadau wakipata moja moto, moja baridi
Wadau wakipata moja moto, moja baridi
IMG_1260
Wadau wa Nyama Choma

Band ya Mapacha watatu ikiongozwa na Jose Mara
Band ya Mapacha watatu ikiongozwa na Jose Mara
Masai akichoma Nyama
Masai akichoma Nyama
Master Jay akiwa na Cpwaa
Master Jay akiwa na Cpwaa

Mtoto akionyesha uwezo wake wa kucheza muziki
Wadau wakipata burudani
Wadau wakipata burudani

Wadau wakisakata rumba
Wadau wakisakata rhumba

IMG_1201

IMG_1206

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles