Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

JAMANI DADA ZETU HUU NI ULIMBUKENI AU NDIO MAISHA YA KISASA?MTAZAME DEMU WA MSANII YOUNG KILLER AKIWA AMEJIFUNIKA KWA PESA HUKU KIFUA CHAKE KIKIONEKANA

$
0
0
 Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi. Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa kufanya haya.CHANZO HASSBABYTZ


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles