Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

PICHA ZZA LADY JAY DEE, KATIKA JARIDA LA VIBE

$
0
0

Hizi hapa picha za Lady JayDee zakwenye jarida la VIBE zinazoleta zogo Mwimbaji na Mwanamuziki wa Bongo Flevaambaye anatikisa hapa Tanzania kwa vibao mbali mbaliJudith Wambura aka LadyJay Dee amepost picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo zita kuwepo kwenye jarida la VIBE.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.
lol Picha hizo zimesababisha wengi kutaharuki kutokana na mavazi ya ubondia aliyo vaaLayJay Dee tofauti na ilivyo zoeleka kuonekana na mavazi ya kisanii au kuchezea kareti. 
 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles