Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

JIMAMA SHABIKI LA AFRICAN SPORTS TOKA TANGA LA FANYA VIROJA UWAJANI MOROGORO

$
0
0
 Jimama hilo likiingia uwanja wa Jamhuri Morogoro na
kiroba kilichojaa pombe kali 

 Likianza kufanya viti vyake jukwaani,mbele ya umati mkubwa wa wanaume
 Mzuka unaaza kumkolea
 Akishiriki kuishangilia timu yake ya African Sports 'wana kimanumanu'
 Aliacha kushangilia na kumu kuwakatikia mauno mashabiki
 Akikolezwa kwa kupigiwa ngoma za asili
 Mpiga ngoma mzuka umempanda na kuamu kuacha kupiga ngoma na kucheza na Jimama hilo
 Wachezaji wa Sports wakishiriki kushangilia baada ya kuwa Nyuka wapinzani wao Kiluvya ya Pwani kwa bao 1-0
 Shabiki mwingi wa African Sports akishangilia timu yao
 Wakti Jimama hilo likifanya vitu vyake mzimamizi mkuu wa kituo cha Morogoro Bw Godfrey Nyange Kaburu alishika tama na kuficha sura yake akikwepa kuangalia vituko hivyo
              Jimama hilo kutoka jijini Tanga.
MWANAMKE mmoja mwenye mwili mkubwa 'Jimama' aliyejitambulisha kwa jina la Asia ldd ambaye amefunga safari kutoka Jijini Tanga kuja Morogoro kuishangilia timu yake ya Africani  Sports'Wana Kimanumanu' inayoshirki ligi ya mabingwa wa Mikoa kituo ch Morogoro juzi  hilo Jimama hilo liliacha simulizi kwenye Uwanja wa Jamhuri baada ya kufanya vituo vilivyopeleka msimamizi mkuu wa kituo cha Morogoro Godfrey Nyange 'Kaburi' kushika tama na kuradhimika kuficha sura yake kukwepa kuangalia vituko hivyo vilivyokuwa vikifanywa na Jimama hilo.  
Picha zote na Dustan Shekidele Morogoro.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles