Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

LAANA UCHAFU UNAOFANYWA NA WACHEZA VIGODORO,CHEKI VIDEO

$
0
0


Jamani hii inatia hadi kinyaaaa.....Hivi Kweli Watanzania tumefikia Kiasi Hichi ...Nilikuwa sijawahi ona Video za Vigodoro nilikuwa nasikia tu juu kwa juu ila hii Video Imenionesha nini Huwa kinafanyika huko kwenye Vigodoro....Serekali Hamjaliona hili ? Mbona Sijasikia Ikipigwa marufuku ..Hii ni sawa na Wale wacheza Uchi wa kwenye Clubs Kule Ulaya..

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles