Akiongea na Amani hivi karibuni, Jacqueline ambaye ni miongoni mwa wasichana wanaoonekana katika mkanda huo akishiriki kupiga picha za ng0no za wanawake wenzake
alidai kuwa, mkanda huo ulichukuliwa siku rafiki yake huyo alipoandaa hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli moja maarufu jijini Dar es Salaam.Mrembo huyo alitanabahisha kuwa, katika sherehe hiyo iliyowakusanya warembo mbalimbali, walialikwa wanawake maalum kwa kazi ya kumfunda Bi. harusi ambao walitakiwa kumfundisha mwanandoa huyo mtarajiwa (kwa wakati huo) namna alivyotakiwa kuishi na mume wake.
“Ile pati ilikuwa Bride Shower ya rafiki yangu (anamtaja jina) na wale wanawake waliokuwa wakicheza uch walialikwa kwa lengo la kumfunda Bi. Harusi
tu na si kucheza wakiwa uch, kucheza kwao uch waliamua wenyewe baada ya kupandisha midadi na sisi tulishindwa kuwazuia,” alisema Jacqueline.