Quantcast
Channel: MAMBO YA WALIMWENGU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

HII SASA NDIYO BIASHARA MATANGAZO, AU KUPAGAWA NA SEBENE LA MALAIKA!

$
0
0
Mwanadada akikata mauno kucheza sebene la bendi ya Malaika usiku wa jana katika ukumbi wa Ngamia, eneo la Maweni, Kigamboni, Dar es Salaam. Dada huyu aliwakera na kuwadhalilisha wanawake wenzake jana kwa ufedhuli huu.
Hata kama kuwarusha roho wanaume, hii imepitiliza
Haikuwa bahati mbaya, alikuwa anafanya makusudi, sasa sijui tuseme ndiyo biashara matangazo, au kunogewa na sebene la Malaika 
Ni huyu kulia mwenye gauni jeusi, tena mdada mzuri tu, lakini heshima... 
Wanenguaji wenyewe wa Akudo walikuwa wanacheza kistaarabu namna hii
Wanamuziki wa Malaika wakifanya yao kistaarabu kabisa jana ukumbi wa Ngamia
Toto Ze Bingwa akipagawisha
Cristian Bella akimshangaa yule dada
Mashabiki wengine walicheza kistaarabu pia
Wadada wa Kigamboni hao...chezea!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2863

Trending Articles